{% load static %} Mutira Girls Co-Curricular

Language Department

English

The unity in the department has made English a subject of choice. No single member works in isolation, members consult each other before teaching thus the performance of English in all the classes is usually at par or with little difference.

Kiswahili

Hapa katika shule ya upili ya Mutira Girls, Kiswahili ni moja awapo ya somo linaloenziwa na kuonewa fahari na wanafunzi. Wanafunzi wengi hutia fora katika somo hili na hivyo basi huchangia pakubwa katika kuinua na kuboresha hali ya Kiswahili kama somo. Wanafunzi wengi hujitolea kuwakilisha shule yetu katika warsha mbalimbali nchini zinazoandaliwa ili kuboresha somo hili na huibuka miongoni mwa wanafunzi bora.

blooketjoin

Contact Us

Mutira Girls' High School,
P.O. Box 223-10300, KERUGOYA.
Email: mutiragirls@yahoo.com
Contacts: 0720 061 183/ 0737 923 163

Departments

External Links

Back to Top
Home